Ijumaa
“Tusaidie tuwe na imani zaidi”—Luka 17:5
ASUBUHI
3:20 Video ya Muziki
3:30 Wimbo Na. 5 na Sala
3:40 HOTUBA YA MWENYEKITI: Imani Ina Nguvu Kadiri Gani? (Mathayo 17:19, 20; Waebrania 11:1)
4:10 MFULULIZO: Kwa Nini Tuna Imani . . .
• Kwamba Kuna Mungu (Waefeso 2:1, 12; Waebrania 11:3)
• Katika Neno la Mungu (Isaya 46:10)
• Katika Viwango vya Mungu vya Maadili (Isaya 48:17)
• Katika Upendo wa Mungu (Yohana 6:44)
5:05 Wimbo Na. 37 na Matangazo
5:15 DRAMA YA USOMAJI WA BIBLIA: Noa—Imani Ilimchochea Kutii (Mwanzo 6:1–8:22; 9:8-16)
5:45 “Iweni na Imani Nanyi Msiwe na Shaka” (Mathayo 21:21, 22)
6:15 Wimbo Na. 118 na Mapumziko
ALASIRI
7:35 Video ya Muziki
7:45 Wimbo Na. 2
7:50 MFULULIZO: Jenga Imani Yako Kupitia Uumbaji
• Nyota (Isaya 40:26)
• Bahari (Zaburi 93:4)
• Misitu (Zaburi 37:10, 11, 29)
• Upepo na Maji (Zaburi 147:17, 18)
• Viumbe wa Baharini (Zaburi 104:27, 28)
• Miili Yetu (Isaya 33:24)
8:50 Wimbo Na. 148 na Matangazo
9:00 Matendo ya Yehova Yenye Nguvu Yanatuchochea Kuwa na Imani (Isaya 43:10; Waebrania 11:32-35)
9:20 MFULULIZO: Waige Waaminifu, Si Wasio Waaminifu
• Abeli, Si Kaini (Waebrania 11:4)
• Enoko, Si Lameki (Waebrania 11:5)
• Noa, Si Jirani Zake (Waebrania 11:7)
• Musa, Si Farao (Waebrania 11:24-26)
• Mitume wa Yesu, Si Mafarisayo (Matendo 5:29)
10:15 “Endeleeni Kujijaribu Kama Mko Katika Imani”—Jinsi Gani? (2 Wakorintho 13:5, 11)
10:50 Wimbo Na. 119 na Sala ya Mwisho