Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w78 6/15 uku. 9
  • Kutumia Ulimi Katika Panama

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutumia Ulimi Katika Panama
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
  • Habari Zinazolingana
  • “Kutoka Kinywani mwa Watoto Wachanga”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Mwishowe Mbegu Ilichipuka
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Nimtendeeje Msichana Anayependezwa Nami?
    Amkeni!—2005
  • Kutatua Matatizo ya Vijana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
w78 6/15 uku. 9

Kutumia Ulimi Katika Panama

MSICHANA Mpanama wa miaka 12 aliyepooza tangu kuzaliwa kwake, hangeweza kutumia mikono na miguu yake ambayo imelemaa. Lakini ana akili nzuri sana akaruhusiwa na mama yake ajifunze Biblia na Mashahidi wa Yehova. “Nilishangaa angewezaje kufungua kurasa za Biblia apate andiko la Biblia,” akasema Shahidi aliyekuwa akijifunza na msichana huyo, “lakini haoni shida yo yote. Yeye analala kwa tumbo kitandani, vitabu vyake vikiwa mbele yake naye anafungua kurasa kwa kutumia ulimi wake kwa njia ya ufundi sana, mara nyingine akipata maandiko hata kabla sijayapata mimi.”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki