Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w82 11/1 uku. 22
  • Makumi Saba ya Miaka ya Uaminifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Makumi Saba ya Miaka ya Uaminifu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
  • Habari Zinazolingana
  • Nimeiona Ikikua Kusini mwa Afrika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Sehemu ya 2—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
  • “Kutafuta Kwanza Ufalme”
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
  • Kukua Pamoja na Tengenezo la Yehova Katika Afrika Kusini
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
w82 11/1 uku. 22

Makumi Saba ya Miaka ya Uaminifu

George R. Phillips, mwenye kujulikana na maelfu ya Mashahidi wa Yehova, hasa katika Afrika, hivi karibuni aliumaliza utumishi wake wa Kikristo duniani. Alizaliwa katika Uskochi katika mwaka 1898, akabatizwa katika mwaka 1912 na miaka miwili baadaye akachukua huduma ya wakati wote. Alifungwa gerezani wakati wa Vita ya Ulimwengu ya Kwanza kwa sababu ya kushikilia kutokuwamo kwa Kikristo. Katika mwaka 1924 Ndugu Phillips alitumwa Afrika, ambako shamba lake la huduma lilisambaa toka Cape of Good Hope mpaka Kenya. Kwa miaka mingi alikuwa mwangalizi wa afisi ya Sosaiti katika Afrika Kusini. Baada ya makumi saba hivi ya miaka katika utumishi wa Mungu, Ndugu Phillips alikufa katika Machi 24, 1982, akiwa mwenye umri wa miaka themanini na minne (84).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki