Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w89 3/15 uku. 25
  • Ripoti Sahihi ya Shahidi Aliyeona kwa Macho!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ripoti Sahihi ya Shahidi Aliyeona kwa Macho!
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
  • Habari Zinazolingana
  • Ibada ya Baali—Pambano la Kupata Mioyo ya Waisraeli
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
  • Ugarit—Jiji la Kale Lililokuwa Kwenye Kitovu cha Ibada ya Baali
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Sasa Ndio Wakati wa Kuchukua Hatua
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • Je, Mungu Hukubali Kila Namna ya Ibada?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
w89 3/15 uku. 25

Ripoti Sahihi ya Shahidi Aliyeona kwa Macho!

Andishi la Kiugariti (KTU 1.161) la hivi majuzi linathibitisha utegemeko wa 2 Wafalme 10:19, 20. Ili kuharibu waabudu wa Baali, Mfalme Yehu aliamuru hivi: “Takaseni kusanyiko la dini [kusanyiko la mambo mazito, NW] kwa Baali.” (Huyo alikuwa mungu bandia, ambaye yawezekana ndiye anayewakilishwa na sanamu ndogo iliyopo kushoto.) Kulingana na Vetus Testamentum, gazeti linalotangazwa kwa chapa katika Uholanzi, usemi huo ni “Mkanaani halisi” na unamaanisha “‘mzingo usiopasa kuingiwa na mtu wa nje’: mtu yeyote wa kutoka nje angeweza kuadhibiwa kwa laana.” “Sasa sisi tunafahamu kwamba mwandikaji wa kifungu hicho katika 2 Wafalme anaonekana kuwa alijua vizuri maneno ya kidini yaliyotumiwa na Wakanaani,” inaeleza Vetus Testamentum.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 25]

Jumba la Vitu vya Makumbuaho la Louvre, Paris

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki