Habari za Kitheokrasi
◆ Haiti ilikuwa na kilele kipya cha wahubiri 5,629 katika Septemba, ongezeko la asilimia 12. Wahubiri wa kundi walikuwa na wastani wa saa 13.2 na mafunzo 1.2.
◆ Japani ilikuwa na kilele kipya cha wahubiri 129,602 katika Septemba. Wakati wa miezi mitatu ya kiangazi, makundi 308 na vikundi vya jamaa 77 vilishiriki katika kueneza miji na vijiji 385 katika eneo lisilogawiwa mtu, wakifikia idadi zaidi ya watu wapata milioni 1.9.