Yako Kwenye Index
Ni mambo yapi hayo? Ni marejezo ya utoaji ambao wewe unaweza kutumia katika huduma. Kichapo Watch Tower Publications Index kimeorodhesha tangulizi nyingi na utoaji mwingi uliodokezwa kwa kufuatisha mada (yaani habari kuu) au kichapo. Pia waweza kupata msaada wa jinsi ya kushughulika na vipingamizi vinavyotokea katika huduma. Hapa chini kuna vichwa vikuu na vichwa vidogo vilivyo katikati ambapo utapata madokezo bora ya utumishi wa shambani.
Introductions
List by Subject
Objections
Common Objections
Presentations
List by Publication
List by Subject
Return Visits
List by Publication
List by Subject
Akina ndugu wanaojua lugha ambazo Index yapatikana wanaweza kutumia ifaavyo habari hiyo na pia habari iliyo katika kitabu Kutoa Sababu.