Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/13 uku. 3
  • Tumia Video Unapofundisha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tumia Video Unapofundisha
  • Huduma ya Ufalme—2013
  • Habari Zinazolingana
  • Tumia Video Kufundisha
    Huduma ya Ufalme—2006
  • Tumia Video Kuwafundisha Wanafunzi Wako wa Biblia
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Tumia Video Kufundisha
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Je, Inafaa Nitazame Video za Muziki?
    Amkeni!—2003
Pata Habari Zaidi
Huduma ya Ufalme—2013
km 5/13 uku. 3

Tumia Video Unapofundisha

Yehova alipowasilisha habari muhimu kwa Abrahamu na Yeremia, alifanya hivyo si kwa kuwaambia tu bali pia kwa kuwaonyesha habari hizo. (Mwa. 15:5; Yer. 18: 1-6) Tunaweza kuwasaidia wanafunzi wetu waelewe na wathamini kweli za Biblia kwa kutumia video zetu vizuri. Yafuatayo ni mapendekezo kuhusu wakati tunaoweza kutumia baadhi ya video zetu. Kumbuka kwamba hayo ni mapendekezo tu kwani kila mwanafunzi ni tofauti.

Kitabu Biblia Inafundisha

◻ Sura ya 1: Baada ya fungu la 17, tazameni Maajabu ya Uumbaji Yanafunua Utukufu wa Mungu

◻ Sura ya 2: Mwishoni mwa sura, tazameni The Bible—Mankind’s Oldest Modern Book

◻ Sura ya 9: Baada ya fungu la 14, tazameni Jehovah’s Witnesses​—Organized to Share the Good News

◻ Sura ya 14: Mwishoni mwa sura, tazameni The Bible​—Its Power in Your Life

◻ Sura ya 15: Baada ya fungu la 10, tazameni Our Whole Association of Brothers

Kitabu “Upendo wa Mungu”

◻ Sura ya 3: Baada ya fungu la 15, tazameni Young People Ask​—How Can I Make Real Friends?

◻ Sura ya 4: Mwishoni mwa sura, tazameni Heshimu Mamlaka ya Yehova

◻ Sura ya 7: Baada ya fungu la 12, tazameni No Blood​—Medicine Meets the Challenge

◻ Sura ya 9: Baada ya fungu la 6, tazameni Vielelezo vya Kuonya Leo

◻ Sura ya 17: Mwishoni mwa sura, tazameni ‘Tembea kwa Imani Si kwa Kuona’

Je, mwanafunzi wako wa Biblia anaweza kunufaika kwa kutazama video nyinginezo? Kwa mfano, wanafunzi wanaokabili upinzani wanaweza kutiwa moyo kwa kutazama video Waaminifu Chini ya Majaribu—Mashahidi wa Yehova Katika Muungano wa Sovieti au Jehovah’s Witnesses Stand Firm Against Nazi Assault. Vijana wanaweza kufaidika kwa kutazama video Pursue Goals That Honor God na Vijana Huuliza​—Nitayatumiaje Maisha Yangu? Weka alama kwenye kitabu Biblia Inafundisha na “Upendo wa Mungu” ili ukumbuke wakati utakapotazama video na mwanafunzi wako au utakapomwazima aitazame. Kadiri video mpya zinavyotolewa fikiria jinsi unavyoweza kuzitumia kugusa mioyo ya wanafunzi wako wa Biblia.​—Luka 24:32.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki