HAZINA ZA NENO LA MUNGU | EZRA 1-5
Yehova Hutimiza Ahadi Zake
Makala Iliyochapishwa
Yehova aliahidi kurudishwa kwa ibada ya kweli katika hekalu lililokuwa Yerusalemu. Lakini baada ya wale waliotekwa kurudi kutoka Babiloni, kulikuwa na vikwazo vingi, ambavyo vilitia ndani sheria ya mfalme ya kusitisha ujenzi. Wengi walihofia kwamba kazi haingemalizika kamwe.
m. 537 K.W.K.
Koreshi alitoa amri kwamba hekalu lijengwe upya
-
Mwezi wa saba
Madhabahu yajengwa; dhabihu zatolewa
-
536 K.W.K.
Msingi wajengwa
-
522 K.W.K.
Mfalme Artashasta alisitisha ujenzi
-
520 K.W.K.
Zekaria na Hagai waliwatia watu moyo waendelee na ujenzi
-
515 K.W.K.
Ujenzi wa Hekalu unakamilishwa