Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Machi uku. 1
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • MNARA WA MLINZI
  • MNARA WA MLINZI (ukurasa wa nyuma)
  • MWALIKO WA UKUMBUSHO
  • ANDIKA UTANGULIZI WAKO
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Huduma Yetu ya Ufalme—2015
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Machi uku. 1
Kuadhimisha kifo cha Kristo

Kuadhimisha Ukumbusho wa kifo cha Kristo nchini Ujerumani

Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi

MNARA WA MLINZI

Gazeti la Mnara wa Mlinzi, Na. 2 2016 | Kwa Nini Yesu Aliteseka na Kufa?

Swali: Je, unayafahamu maneno haya yanayojulikana sana?

Andiko: Yoh 3:16

Pendekezo: Gazeti hili la Mnara wa Mlinzi linaeleza jinsi ambavyo kuteseka kwa Yesu na kifo chake kinavyotunufaisha.

MNARA WA MLINZI (ukurasa wa nyuma)

Swali: Ona swali hili na majibu ambayo wengi hutoa. [Soma swali la kwanza pamoja na majibu yaliyoorodheshwa.] Wewe una maoni gani?

Andiko: Mt 4:1-4

Pendekezo: Kwa kuwa Ibilisi alizungumza na Yesu na kumjaribu, ni wazi kwamba Ibilisi ni kiumbe halisi. Biblia inasema nini kingine kuhusu Ibilisi? Gazeti hili lina habari zaidi.

MWALIKO WA UKUMBUSHO

Mwaliko wa 2016 wa Ukumbusho wa kifo cha Kristo

Pendekezo: Tunawaalika watu kwenye tukio muhimu sana. [Mpe mwenye nyumba mwaliko.] Tarehe 23 mwezi wa Machi, mamilioni ya watu ulimwenguni pote wataadhimisha kifo cha Yesu Kristo na kusikiliza hotuba inayotegemea Biblia bila malipo kuhusu jinsi kifo chake kinavyotunufaisha. Mwaliko huu unaonyesha wakati na mahali ambapo mkutano utafanywa katika eneo letu. Tutafurahi ikiwa utahudhuria.

ANDIKA UTANGULIZI WAKO

Ukitumia mpangilio ulioonyeshwa katika mifano iliyotangulia tayarisha utangulizi wako kwa ajili ya utumishi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki