Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Machi uku. 6
  • Ayubu Alikuwa na Uhakika Kwamba Kungekuwa na Ufufuo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ayubu Alikuwa na Uhakika Kwamba Kungekuwa na Ufufuo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Mti Uliokatwa Unaweza Kuchipuka Tena?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Mzeituni Unaostawi Katika Nyumba ya Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
  • ‘Lo! Jinsi Kilivyo Kina cha Hekima ya Mungu!’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Mzeituni Wenye Kuzaa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Machi uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | AYUBU 11-15

Ayubu Alikuwa na Uhakika Kwamba Kungekuwa na Ufufuo

Ayubu alionyesha imani kuwa Mungu ana uwezo wa kumfufua

14:7-9, 13-15

Kisiki cha mzeituni kilichokauka kinaweza kuchipua mmea kutoka kwenye mizizi
  • Ayubu alitumia mfano wa mti, labda ule wa mzeituni, ili kuonyesha uwezo wa Mungu wa kumfufua

  • Mizizi ya mzeituni inaenea sana hivi kwamba inaweza kuusadia mti huo kukua tena hata kama shina la mti huo limekatwa. Ikiwa mizizi hiyo iko hai, basi mti huo utachipuka tena

  • Mvua inaponyesha baada ya kipindi kirefu cha ukame, kisiki cha mzeituni kinaweza kuchipua mmea kutoka kwenye mizizi, na kutokeza “matawi kama mmea mpya”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki