Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Agosti uku. 5
  • Yehova Anakumbuka Sisi Ni Mavumbi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Anakumbuka Sisi Ni Mavumbi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Anakumbuka Kwamba “Sisi Ni Mavumbi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • ‘Ee Nafsi Yangu, Umhimidi Yehova’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
  • Je, Mungu Husamehe Dhambi Nzito?
    Amkeni!—2008
  • Je! Rehema ya Mungu Inafunika Dhambi Zako Zote?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Agosti uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ZABURI 102-105

Yehova Anakumbuka Sisi Ni Mavumbi

Mtu akiwa na udongo mkononi huku akitafakari kuhusu mbingu zenye nyota, jua, na huruma ya baba kwa mwana wake

Daudi alitumia usemi wa mfano kukazia rehema za Yehova.

  • Mbingu zenye nyota

    103:11

    Kama tu ambavyo ni vigumu kwetu kuelewa kihalisi umbali uliopo kati ya dunia na mbingu zenye nyota, vivyo hivyo pia hatuwezi kuelewa kikamili wingi wa upendo mshikamanifu wa Yehova

  • Jua

    103:12

    Yehova anaweka makosa yetu mbali sana nasi kwa kadiri tusiyoweza kuwazia, kama vile mashariki ilivyo mbali sana na magharibi

  • Baba akimwonyesha mwana wake huruma

    103:13

    Kama vile baba anavyomwonyesha rehema mwana wake aliyeumia, ndivyo Yehova anavyowaonyesha rehema wale ambao wametubu na kuhuzunishwa sana na dhambi zao

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki