Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Desemba uku. 7
  • Ujuzi Kumhusu Yehova Utajaa Duniani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ujuzi Kumhusu Yehova Utajaa Duniani
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Unaweza Kuwa na Wakati Ujao Wenye Furaha!
    Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele
  • “Neno la Mungu Li Hai, Tena Lina Nguvu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Zawadi Inayotoka kwa Yehova Mwenyewe
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1974
  • Kwa Nini Sisi Twahitaji Maarifa Sahihi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Desemba uku. 7

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ISAYA 11-16

Ujuzi Kumhusu Yehova Utajaa Duniani

Mvulana katika Paradiso akicheza kati ya wanyama-mwitu

11:6-9

Jinsi unabii huu ulivyotimia kwa Waisraeli

  • Waisraeli hawakuhitaji kuogopa wanyama wa mwituni wala wanadamu walio kama wanyama wakiwa safarini wala wakiwa katika nchi yao iliyorudishwa.—Ezr 8:21, 22.

Jinsi unabii huu unavyotimia leo

  • Ujuzi juu ya Yehova umebadili nyutu za watu. Watu waliokuwa wenye jeuri hapo awali wamekuwa wenye amani. Ujuzi kumhusu Mungu umetokeza paradiso ya kiroho ulimwenguni pote.

Jinsi unabii huu utakavyotimia wakati ujao

  • Kupatana na kusudi la Mungu la awali dunia nzima itageuzwa kuwa paradiso salama na yenye amani. Hakuna kiumbe, iwe mwanadamu au mnyama, atakayesababisha madhara.

Ujuzi kumhusu Mungu ulimbadili Paulo

  • Alipokuwa Farisayo alikuwa na utu kama wa mnyama.​—1Ti 1:13.

  • Ujuzi sahihi ulibadili utu wake.​—Kol 3:8-10.

Mtume Paulo alibadilika akaacha kuwa mtu mwenye hasira na kuwa mpole
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki