Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Januari uku. 3
  • “Mfalme Atatawala kwa Ajili ya Uadilifu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mfalme Atatawala kwa Ajili ya Uadilifu”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • “Jiangalieni Wenyewe na Kundi Lote”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • “Lichungeni Kundi la Mungu Lililo Chini ya Uangalizi Wenu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • “Lichungeni Kundi la Mungu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • Kuonyesha Kupendezwa na “Kundi la Mungu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Januari uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ISAYA 29-33

“Mfalme Atatawala kwa Ajili ya Uadilifu”

Yesu, Mfalme anayetawala, anatupatia “wakuu” au wazee wa kutunza kundi

32:1-3

  • Kama “mahali pa kujificha kutokana na dhoruba ya mvua,” wanafanya kazi ya kulinda kundi kutokana na dhoruba ya mateso na kuvunjika moyo

  • Kama “vijito vya maji katika nchi isiyo na maji,” wanawaburudisha wale wenye kiu ya kiroho kwa kuwapatia kweli safi na isiyochanganywa na kitu

  • Kama “kivuli cha mwamba mzito katika nchi iliyochoka,” wanalipatia kundi kitulizo kwa kutoa miongozo na burudisho la kiroho

    Mtu katika nyakati za Biblia akijificha kutokana na dhoruba ya mvua, akinywa maji katika kijito, na akipumzika chini ya kivuli cha mwamba mzito
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki