HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YEREMIA 35-38
Ebed-meleki—Mfano wa Ujasiri na Fadhili
Ebed-meleki, ofisa katika makao ya Mfalme Sedekia, alionyesha sifa zinazompendeza Mungu
Alichukua hatua na kutenda kwa ujasiri kwa kwenda kuzungumza na Mfalme Sedekia kwa niaba ya Yeremia na kisha kumwokoa Yeremia kutoka katika tangi la maji
Alionyesha fadhili kwa kumpa Yeremia vitambaa laini na vipande vya nguo ili kamba zisichubue makwapa yake