Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Mei uku. 5
  • Yehova Atamlipa Kila Mmoja Kulingana na Kazi Yake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Atamlipa Kila Mmoja Kulingana na Kazi Yake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Mtumikie “Mfalme wa Mataifa” Ukaokoke
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Mthawabishaji wa Wote Wanaomtumikia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Utachagua Marafiki wa Aina Gani?
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
  • Kitabu Cha Biblia Namba 26—Yeremia
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Mei uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YEREMIA 39-43

Yehova Atamlipa Kila Mmoja Kulingana na Kazi Yake

Sedekia hakutii mwongozo wa Yehova wa kujisalimisha kwa Wababiloni

39:4-7

  • Wana wa Sedekia waliuawa mbele ya macho yake. Kisha, akapofushwa, akafungwa pingu za shaba, na kutiwa gerezani Babiloni hadi alipokufa

    Mfalme Sedekia akataa kumtii Yehova na aadhibiwa kwa kupofushwa macho na kufungwa kwa pingu za shaba

Ebed-meleki alionyesha kwamba alimtegemea Yehova na alimhangaikia nabii Wake Yeremia

39:15-18

  • Yehova aliahidi kumlinda Ebed-meleki wakati ambapo Yuda lingeharibiwa

    Ebed-meleki akiongea kwa ujasiri na Mfalme Sedekia na aliokolewa Yerusalemu lilipoharibiwa

Yeremia alihubiri kwa ujasiri kwa miaka mingi kabla ya Yerusalemu kuharibiwa

40:1-6

  • Yehova alimlinda Yeremia wakati Yerusalemu lilipozingirwa na akafanya mipango ili aachiliwe na Wababiloni

    Yeremia akihubiri kwa ujasiri na alipewa chakula Yerusalemu lilipozingirwa
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki