HAZINA ZA NENO LA MUNGU | DANIELI 10-12
Yehova Alitabiri Wakati Ujao wa Wafalme
Wafalme wanne wangesimama kwa ajili ya Uajemi. Na mfalme wa nne angechochea “kila kitu kupigana na ufalme wa Ugiriki.”
Koreshi Mkuu
Cambyses wa Pili
Dario wa Kwanza
Shasta wa Kwanza (inaaminiwa alikuwa Mfalme Ahasuero ambaye alimwoa Esta)
Mfalme mwenye nguvu wa Ugiriki angesimama na kutawala milki kubwa sana.
Aleksanda Mkuu
Milki ya Ugiriki ingegawanywa na kutawaliwa na majenerali wanne wa Aleksanda.
Kasanda
Lisimako
Seleuko wa Kwanza
Ptolemy wa Kwanza