Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Novemba uku. 8
  • Mambo Tunayojifunza Katika Kitabu cha Yona

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mambo Tunayojifunza Katika Kitabu cha Yona
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Alijifunza Kutokana na Makosa Yake
    Igeni Imani Yao
  • Jifunze Kutokana na Makosa Yako
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Kufaidika Kutokana na Yaliyompata Yona
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Alijifunza Kutokana na Makosa Yake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Novemba uku. 8

MAISHA YA MKRISTO

Mambo Tunayojifunza Katika Kitabu cha Yona

Katika Neno lake, Yehova amehifadhi masimulizi kuhusu maisha ya wanaume na wanawake wenye imani ili kutufundisha masomo muhimu. (Ro 15:4) Ulijifunza nini katika kitabu cha Yona? Tazameni video yenye kichwa Ibada ya Familia: Yona—Kujifunza Kutokana na Rehema za Yehova, kisha mjibu maswali yafuatayo:

  • Wahubiri watatu katika video hiyo walikabili hali zipi?

  • Kitabu cha Yona kinaweza kututia moyo jinsi gani ikiwa tumetiwa nidhamu au kupoteza mapendeleo ya utumishi? (1Sa 16:7; Yon 3:1, 2)

  • Simulizi la Yona linaweza kutusaidiaje kudumisha mtazamo mzuri kuhusu eneo letu? (Yon 4:11; Mt 5:7)

  • Simulizi la Yona linaweza kutufariji jinsi gani ikiwa tunakabili matatizo makubwa ya afya? (Yon 2:1, 2, 7, 9)

  • Umejifunza nini kutokana na video hiyo kuhusu umuhimu wa kusoma Biblia na kutafakari?

Ndugu akiwa amevunjika moyo kwa kupoteza pendeleo; dada akifikiri hatapokewa vizuri katika huduma; dada akielezwa habari mbaya na daktari
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki