Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Aprili uku. 5
  • Kuponya Katika Siku ya Sabato

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuponya Katika Siku ya Sabato
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Ni Mambo Gani Yaliyo Halali Siku ya Sabato?
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
  • Ni Jambo Gani Lililo Halali Siku ya Sabato?
    Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi
  • Ni Jambo Gani Lililo Halali Siku ya Sabato?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Je, Wakristo Wanapaswa Kushika Sabato?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Aprili uku. 5
Mwanamume mwenye mkono uliopooza amkaribia Yesu

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MARKO 3-4

Kuponya Katika Siku ya Sabato

3:1-5

Kwa nini Yesu alihuzunishwa sana na mtazamo wa viongozi wa dini ya Kiyahudi? Kwa sababu walifanya Sabato kuwa mzigo kwa kuongeza sheria nyingi ndogondogo. Kwa mfano, mtu hakuruhusiwa kuua kiroboto. Walisema kwamba ni halali kuponya iwapo tu uhai umo hatarini. Hilo lilimaanisha kwamba haikuwa halali kutibu mfupa uliovunjika au kufunga kiungo kilichoteguka siku ya Sabato. Ni wazi kwamba Mafarisayo hawakumjali yule mtu aliyepooza.

JIULIZE HIVI:

  • ‘Je, watu wengine wananiona kuwa mtu anayeshikilia sheria au mtu mwenye huruma?’

  • ‘Ninapoona mtu anayehitaji msaada kutanikoni, ninaweza kuigaje huruma ya Yesu kwa kiwango kikubwa zaidi?’

Wazee wawili wamfanyia ziara ya uchungaji dada mwenye shughuli nyingi na mwana wake ambaye ni tineja
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki