Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Julai uku. 4
  • Mfano wa Msamaria Mwema

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mfano wa Msamaria Mwema
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Kuwa “Msamaria Mwema” Kunamaanisha Nini?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Msamaria Athibitika Kuwa Jirani Mwema
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1998
  • Mfano wa Mwana Mpotevu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Je, ‘Utaendelea Kukesha’?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Julai uku. 4
Msamaria mwema akifunga majeraha ya msafiri Myahudi

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | LUKA 10-11

Mfano wa Msamaria Mwema

10:25-37

Yesu alitoa mfano huo ili kujibu swali hili: “Kwa kweli jirani yangu ni nani?” (Lu 10:25-29) Alijua kwamba kutaniko la Kikristo lingefanyizwa na “watu wa namna zote”—kutia ndani Wasamaria na Watu wa Mataifa. (Yoh 12:32) Mfano huo uliwafundisha wafuasi wake kwamba wanapaswa kufanya mengi zaidi ya wajibu wao ili kuwaonyesha wengine upendo, hata wale ambao ni tofauti sana nao.

Watu wa mataifa mbalimbali wakifurahia tafrija pamoja

JIULIZE HIVI:

  • ‘Ninahisije kuwahusu ndugu na dada wa tamaduni tofauti na yangu?’

  • ‘Je, mimi hupenda kuwa tu pamoja na wale ambao wana mapendezi kama yangu?’

  • ‘Je, ninaweza kufungua kabisa moyo wangu kwa kuwafahamu vizuri zaidi Wakristo wenzangu walio na malezi tofauti na yangu?’ (2Ko 6:13)

Ningependa kumwalika nani ili . . .

  • tuende pamoja katika huduma

  • aje nyumbani kwangu kula mlo

  • ajiunge na familia yangu wakati wa Ibada ya Familia juma lijalo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki