Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Agosti uku. 4
  • Jifunze Kutokana na Mfano wa Zile Mina Kumi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jifunze Kutokana na Mfano wa Zile Mina Kumi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Jifunze Kutokana na Mfano wa Talanta
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Kupata Utajiri kwa Ajili ya Mfalme Mpya wa Dunia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1974
  • Waokolewa Wasichinjwe Pamoja na Adui za Mfalme
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1974
  • Je! Kuna Jamii Yenye Umoja ya Wakristo wa Kweli?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1974
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Agosti uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | LUKA 19-20

Jifunze Kutokana na Mfano wa Zile Mina Kumi

19:12-24

Bwana, watumwa, na mifuko ya pesa

Sehemu mbalimbali za mfano huo zinawakilisha nini?

  1. Bwana anawakilisha Yesu

  2. Watumwa wanawakilisha wanafunzi wa Yesu waliotiwa mafuta

  3. Pesa, ambazo bwana aliwakabidhi watumwa, zinawakilisha pendeleo lenye thamani la kufanya wanafunzi

Mfano huo unatoa onyo kuhusu kile kinachoweza kutokea ikiwa wanafunzi wa Kristo waliotiwa mafuta watasitawisha tabia kama za yule mtumwa mwovu. Yesu anatarajia wanafunzi wake watumie kikamili wakati, nguvu, na hata mali zao ili kufanya wanafunzi.

Ninaweza kuwaigaje Wakristo watiwa-mafuta waaminifu katika kazi ya kufanya wanafunzi?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki