Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Septemba uku. 4
  • Mfuate Yesu Ukiwa na Nia Nzuri

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mfuate Yesu Ukiwa na Nia Nzuri
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Hakuna Kitu Chochote Kinachoweza Kuwakwaza Waadilifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Je, Utakwazika kwa Sababu ya Yesu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Wewe Umekwazwa na Mambo Yaliyofanywa na Wengine?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
  • “Simameni Imara”—Msijikwae
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Septemba uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YOHANA 5-6

Mfuate Yesu Ukiwa na Nia Nzuri

6:9-11, 25-27, 54, 66-69

Yesu alipotoa mfano ambao wanafunzi wake hawakuelewa, baadhi yao walikwazika na hawakuendelea kumfuata. Siku moja tu kabla ya hapo, Yesu alikuwa amewalisha kimuujiza na hivyo kuthibitisha kwamba nguvu zake zilitoka kwa Mungu. Kwa hiyo, kwa nini walikwazika? Inaonekana kwamba nia yao ya kumfuata Yesu ilikuwa ya ubinafsi. Walikuwa wakishirikiana na Yesu ili wapate faida za kimwili.

Kila mmoja wetu anapaswa kujiuliza hivi: ‘Kwa nini ninamfuata Yesu? Je, ni kwa sababu hasa ya kupata baraka za sasa na za wakati ujao? Au ni kwa sababu ninampenda Yehova na ninataka kumpendeza?’

Yesu akiwalisha kimuujiza wanafunzi wake; wanafunzi wengi waacha kumfuata Yesu naye anawauliza mitume wake ikiwa wangependa kumwacha pia

Kwa nini tunaweza kukwazika ikiwa hasa tunamtumikia Yehova kwa sababu zifuatazo?

  • Tunafurahia kuwa pamoja na watu wa Mungu

  • Tunataka kuishi katika Paradiso

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki