Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Septemba uku. 6
  • Yesu Alimtukuza Baba Yake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yesu Alimtukuza Baba Yake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Beba Mti Wako wa Mateso na Uendelee Kunifuata
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Uwe Mnyenyekevu Unaposifiwa na Wengine
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Yesu Kristo
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Yesu Ana Sifa Gani?
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Septemba uku. 6
Yesu akielekeza sifa kwa Baba yake

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YOHANA 7-8

Yesu Alimtukuza Baba Yake

7:15-18, 28, 29; 8:29

Yesu alimtukuza Baba yake wa mbinguni katika mambo yote aliyosema na kufanya. Yesu alitaka watu wajue kwamba ujumbe wake ulitoka kwa Mungu. Kwa hiyo, alifanya Maandiko kuwa msingi wa mafundisho yake na aliyanukuu mara nyingi. Aliposifiwa, Yesu alielekeza sifa hizo kwa Yehova. Hangaiko lake kuu lilikuwa kukamilisha kazi ambayo Yehova alikuwa amempa afanye.—Yoh 17:4.

Tunaweza kumwigaje Yesu . . .

  • tunapofundisha kwenye funzo la Biblia au kutoka jukwaani?

  • tunaposifiwa na watu?

  • tunapoamua jinsi ya kutumia wakati wetu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki