Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Julai uku. 8
  • Uwe Mnyenyekevu Unaposifiwa na Wengine

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uwe Mnyenyekevu Unaposifiwa na Wengine
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Uwe Mshikamanifu Unaposhawishiwa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Msifuni Yehova kwa Shangwe Siku kwa Siku!
    Huduma Yetu ya Ufalme—1995
  • Msifuni Yehova Mungu Wetu
    Mwimbieni Yehova
  • Jinsi ya Kuwapongeza Watoto
    Amkeni!—2015
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Julai uku. 8

MAISHA YA MKRISTO

Uwe Mnyenyekevu Unaposifiwa na Wengine

Nyakati nyingine, huenda wengine wakatusifu, au kutupongeza. Hilo linaweza kututia moyo hasa ikiwa wanatusifu kutoka moyoni na kwa nia nzuri. (Met 15:23; 31:10, 28) Lakini tunapaswa kuwa waangalifu kwamba hilo lisitufanye tujihisi kuwa bora kuliko wengine na kuwa na kiburi.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA UWE MSHIKAMANIFU KAMA YESU—UNAPOSIFIWA, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Huenda watu wakatusifu kuhusu mambo gani?

  • Akina ndugu walimsifu Sergei kwa njia gani?

  • Walimsifuje kwa njia isiyofaa?

  • Umejifunza masomo gani kutokana na jinsi Sergei alivyojibu kwa unyenyekevu?

Sehemu kutoka kwenye video ‘Uwe Mshikamanifu, Kama Yesu​—Unaposifiwa,’ ikimwonyesha Sergei akiwa katika tafrija kwenye nyumba ya ndugu akiwajibu akina ndugu waliomsifu kwa njia isiyofaa ingawa walikuwa na nia nzuri.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki