Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Januari uku. 6
  • Paulo Anasafiri Kwenda Roma

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Paulo Anasafiri Kwenda Roma
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Paulo Apelekwa Roma
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • “Hakuna Hata Mmoja Wenu Atakayepotea”
    “Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu
  • Paulo Ashinda Janga
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Januari uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATENDO 27-28

Paulo Anasafiri Kwenda Roma

27:23, 24; 28:1, 2, 16, 17

Paulo hakuacha kamwe kuhubiri licha ya kufungwa. Alipokuwa kwenye meli, aliwahubiri mabaharia na wasafiri wenzake. Baada ya meli yao kuvunjika huko Malta, bila shaka alitumia nafasi hiyo kuwaeleza habari njema wale aliowaponya. Siku tatu tu baada ya kufika Roma, aliwaita wanaume mashuhuri wa Wayahudi ili kuwatolea ushahidi. Na wakati wa miaka miwili aliyokuwa katika kifungo cha nyumbani, aliwahubiria wote waliomtembelea.

Unaweza kufanya nini ili kushiriki habari njema na wengine licha ya udhaifu au hali nyingine ngumu unayokabili?

Paulo akiwatolea ushahidi wanaume mashuhuri wa Wayahudi akiwa amefungwa pingu na askari huko Roma; njia ambayo Paulo alitumia kutoka Kaisaria hadi Roma
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki