Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Julai uku. 7
  • Ujitoaji Kimungu Una Faida Kuliko Mazoezi ya Kimwili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ujitoaji Kimungu Una Faida Kuliko Mazoezi ya Kimwili
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Michezo?
    Vijana Huuliza
  • Kuweka Michezo Mahali Payo Panapofaa
    Amkeni!—1992
  • Je, Nijiunge na Michezo ya Timu?
    Amkeni!—1996
  • Michezo ya Timu—Je, Yanifaa?
    Amkeni!—1996
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Julai uku. 7

MAISHA YA MKRISTO

Ujitoaji-Kimungu Una Faida Kuliko Mazoezi ya Kimwili

Msichana akiwa ameshika kifaa cha kucheza mchezo wa tenisi, mvulana akiwa na mpira wa vikapu, na mvulana mwingine akiwa na kifaa cha mchezo wa besiboli

Je, mazoezi ya kimwili yana faida? Ndiyo, lakini yana faida ndogo yanapolinganishwa na mazoezi ya kiroho. (1Ti 4:8) Hivyo, Wakristo wanapaswa kuwa na usawaziko wanapojihusisha katika michezo.

TAZAMENI VIDEO YA VIBONZO KWENYE UBAO YENYE KICHWA MAMBO UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU MICHEZO, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  1. Wavulana wakipiga makasia pamoja

    1. Tunaweza kujifunza ustadi gani kutokana na michezo?

  2. Mvulana akilemewa na vifaa vyake vyote vya michezo

    2. Ni mambo gani matatu yanayoweza kutusaidia kuamua ikiwa mchezo fulani unatufaa au la?

  3. Msichana mwenye hasira akivalia glavu za ndondi

    3. Zaburi 11:5 inawezaje kutusaidia kuamua ni michezo gani tunayoweza kutazama na kucheza?

  4. Mvulana mwenye ushindani kupita kiasi akijivuna mbele ya wavulana wengine wawili

    4. Tunawezaje kutumia andiko la Wafilipi 2:3 na Methali 16:18 kuhusu jinsi tunavyocheza?

  5. Msichana akilala wakati wa mkutano kutanikoni

    5. Wafilipi 1:10 inaweza kutusaidiaje kuepuka kutumia muda mwingi sana kutazama au kucheza michezo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki