Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Septemba uku. 3
  • “Kivuli cha Mambo Mema Yatakayokuja”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Kivuli cha Mambo Mema Yatakayokuja”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Kitu Muhimu Zaidi Katika Hema la Ibada
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Thamini Pendeleo Lako la Kuabudu Katika Hekalu la Kiroho la Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Maskani ya Ibada
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • ‘Mlinunuliwa kwa Bei’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Septemba uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | WAEBRANIA 9-10

“Kivuli cha Mambo Mema Yatakayokuja”

9:12-14, 24-26; 10:1-4

Hema la ibada lilionyesha mapema mpango ambao Mungu alianzisha kwa ajili ya kufunika dhambi za wanadamu kupitia fidia. Patanisha mambo manne yafuatayo ya hema la ibada na kile kinachowakilishwa na mambo hayo.

Picha inayoonyesha sehemu ya ndani ya hema la ibada
  1. Pazia

  2. Damu ya mnyama aliyetolewa dhabihu inanyunyizwa mbele ya Sanduku la Agano

  3. Patakatifu Zaidi

  4. Kuhani mkuu

  • Yesu

  • Mbinguni

  • Kutoa thamani ya fidia mbele za Yehova

  • Mwili wa Kristo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki