Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Septemba uku. 4
  • Kitu Muhimu Zaidi Katika Hema la Ibada

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kitu Muhimu Zaidi Katika Hema la Ibada
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • “Kivuli cha Mambo Mema Yatakayokuja”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Siku ya Upatanisho (Atonement Day)
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Wakati Ibada Inapowekwa Juu ya Hekalu la Kidunia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1974
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Septemba uku. 4
Sanduku la agano.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 25-26

Kitu Muhimu Zaidi Katika Hema la Ibada

25:9, 21, 22

Kitu muhimu zaidi katika hema la ibada na katika kambi yote ya Israeli kilikuwa Sanduku la Agano. Kuwapo kwa Mungu kuliwakilishwa na wingu lililokuwa katikati ya makerubi wawili waliokuwa juu ya kifuniko cha Sanduku hilo. Siku ya Kufunika Dhambi ya kila mwaka, kuhani mkuu aliingia ndani ya Patakatifu Zaidi na kunyunyiza damu ya ng’ombe dume na ya mbuzi mbele ya kifuniko ili kufunika dhambi za Waisraeli. (Law 16:14, 15) Hilo lilitangulia kuonyesha jinsi ambavyo Yesu, yule Kuhani Mkuu zaidi, atakavyoingia mbele ya kuwapo kwa Yehova mbinguni ili kutoa thamani ya dhabihu yake ya fidia.​—Ebr 9:24-26.

Patanisha maandiko yafuatayo na manufaa tunazoweza kupata kutokana na fidia:

MAANDIKO

  • 1Yo 1:8, 9

  • Ebr 9:13, 14

  • Ro 6:23

MANUFAA

  • tumaini la kuishi milele

  • msamaha wa dhambi

  • dhamiri safi

Tunapaswa kufanya nini ili kupokea manufaa hayo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki