Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Februari uku. 2
  • Agano Linalokuhusu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agano Linalokuhusu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova ni Mungu wa Maagano
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1998
  • Agano la Mungu Pamoja na “Rafiki” Yake Tayari Lafaidi Mamilioni
    Usalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani”
  • Agano
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Maagano Yanayohusisha Kusudi la Milele la Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Februari uku. 2
Abrahamu akitazama anga lililojaa nyota.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 12-14

Agano Linalokuhusu

12:1-3; 13:14-17

  • Yehova alifanya agano pamoja na Abrahamu, ambalo liliweka msingi wa kisheria wa Ufalme wa mbinguni

  • Inaonekana agano hilo lilianza kufanya kazi mwaka wa 1943 K.W.K. Abrahamu alipovuka Mto Efrati alipokuwa akielekea Kanaani

  • Agano hilo litaendelea kufanya kazi mpaka Ufalme wa Kimasihi utakapoangamiza maadui wa Mungu na kuziletea baraka familia zote duniani

Yehova alimbariki Abrahamu kwa sababu ya imani yake kubwa. Tukionyesha kwamba tuna imani katika ahadi za Yehova, tunatarajia kupata baraka gani zinazotegemea agano ambalo Mungu alifanya pamoja na Abrahamu?

Abrahamu na familia yake wakisafiri karibu na kijiji fulani huko Kanaani.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki