Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Mei uku. 3
  • Je, Umejitayarisha?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Umejitayarisha?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Endelea Kuwa Tayari Katika Sehemu ya Mwisho ya “Siku za Mwisho”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Je, Uko Tayari kwa Ajili ya Msiba wa Asili?
    Huduma ya Ufalme—2007
  • Je, Uko Tayari Kukabiliana na Misukosuko ya Kijamii?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Pambano la Mwanadamu Dhidi ya Misiba
    Amkeni!—1995
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Mei uku. 3
Familia ikitayarisha mikoba ya dharura.

MAISHA YA MKRISTO

Je, Umejitayarisha?

Ikiwa msiba wa asili utatokea katika eneo lenu, je, umejitayarisha? Matetemeko ya ardhi, vimbunga, moto wa misituni, na mafuriko yanaweza kutokea kwa ghafla na kusababisha uharibifu mkubwa. Isitoshe, mashambulizi ya kigaidi, vurugu, na magonjwa ya kuambukiza yanaweza kutokea mahali popote bila kutarajiwa. (Mhu 9:11) Hatupaswi kufikiri kwamba matukio kama hayo hayawezi kutokea mahali tunapoishi.

Kila mmoja wetu anapaswa kuchukua hatua zinazofaa ili kujitayarisha kwa ajili ya msiba. (Met 22:3) Ingawa tengenezo la Yehova huandaa msaada fulani wakati wa msiba, hilo halimaanishi kwamba hatuna wajibu wa kujitayarisha.—Gal 6:5, maelezo ya chini.

TAZAMENI VIDEO JE, UMEJITAYARISHA KUKABILIANA NA MAJANGA YA ASILI? KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Ndugu akijitayarisha kiroho kwa ajili ya msiba kwa kusoma Biblia.

    Tunaweza kujitayarishaje kiroho kwa ajili ya msiba?

  • Mkoba wa dharura, habari za mawasiliano, na simu ya mkononi.

    Kwa nini ni muhimu . . .

    • • kudumisha mawasiliano mazuri na wazee kabla, wakati wa msiba, na baada ya msiba?

    • • kutayarisha begi la (mkoba wa) dharura?​—g17.5 6

    • • kuzungumzia aina ya misiba inayoweza kutokea na hatua mnayopaswa kuchukua katika kila hali?

  • Picha: Njia za kuwasaidia wengine wakati wa msiba. 1. Ndugu akisali. 2. Wajitoleaji wakisaidia kutoa msaada wakati wa msiba. 3. Ndugu akitia pesa katika sanduku la michango kwenye Jumba la Ufalme.

    Ni njia gani tatu tunazoweza kuwasaidia wengine wanapopatwa na msiba?

JE, UNAWEZA KUJITOLEA?

Kuna uhitaji unaoongezeka wa kupata wajitoleaji wakati wa msiba. Ikiwa ungependa kujitolea, wajulishe wazee mara moja.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki