Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Julai uku. 4
  • Musa na Haruni Waonyesha Ujasiri Mkubwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Musa na Haruni Waonyesha Ujasiri Mkubwa
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Musa na Aroni—Wapiga-Mbiu Wenye Moyo Mkuu wa Neno la Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Musa na Haruni Wanamwona Farao
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Je, Unamwona ‘Yule Asiyeonekana’?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Julai uku. 4
Musa na Haruni wakiwa mbele ya Farao, aliyeketi kwenye kiti chake cha ufalme.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 10-11

Musa na Haruni Waonyesha Ujasiri Mkubwa

10:3-6, 24-26, 28; 11:4-8

Musa na Haruni walionyesha ujasiri mkubwa walipozungumza na Farao, aliyekuwa mtu mwenye nguvu zaidi ulimwenguni wakati huo. Ni nini kilichowawezesha kufanya hivyo? Biblia inasema hivi kumhusu Musa: “Kwa imani aliondoka Misri, lakini hakuogopa hasira ya mfalme, kwa maana aliendelea kuwa imara kama mtu anayemwona Yule asiyeonekana.” (Ebr 11:27) Musa na Haruni walikuwa na imani yenye nguvu katika Yehova na walimtegemea.

Ni hali zipi ambazo unahitaji ujasiri kumweleza mtu mwenye mamlaka imani yako?

Picha: Hali ambazo tunaweza kuwa jasiri. 1. Mvulana shuleni akiwa amesimama kimya huku wengine wakisalimu bendera. 2. Ndugu akiwa mbele ya maofisa mahakamani. 3. Ndugu kijana akimwonyesha mwenye-nyumba trakti huku polisi akitazama.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki