Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Desemba uku. 5
  • Usafi Ni Takwa Katika Ibada Safi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usafi Ni Takwa Katika Ibada Safi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Watu Waliosafishwa kwa Ajili ya Kazi Zilizo Bora
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • Mungu Anawapenda Watu Walio Safi
    “Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu”
  • Je! Wewe Unabaki Ukiwa Safi Katika Kila Jambo?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • Ni Lazima Watumishi wa Mungu Wawe Safi
    Mungu Anataka Tufanye Nini?
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Desemba uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MAMBO YA WALAWI 14-15

Usafi Ni Takwa Katika Ibada Safi

15:13-15, 28-31

Ili kudumu katika upendo wa Mungu, tunahitaji kuendelea kuwa safi ndani na nje. Hilo linamaanisha kwamba tunashikamana kwa uaminifu na viwango vya Yehova vya usafi wa kimwili, kiadili, na kiroho, bila kujali jinsi ulimwengu unaotuzunguka unavyotenda. Tunaepuka chochote ambacho Baba yetu wa mbinguni anaona kuwa si safi.

Picha: Picha zinazoonyesha uchafu wa ulimwengu. 1. Kasisi akisali kwa ajili ya wanajeshi. 2. Kasisi mwanamke akiunganisha wanaume wawili katika ndoa. 3. Igizo la kuzaliwa kwa Yesu na mti wa Krismasi katika duka kubwa.

Ninanufaikaje kwa kuepuka viwango vya ulimwengu huu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki