Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Julai uku. 8
  • Jinsi Sheria Ilivyoonyesha Yehova Anawajali Wanyama

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jinsi Sheria Ilivyoonyesha Yehova Anawajali Wanyama
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Agawa Nchi kwa Hekima
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Wanyama
    Amkeni!—2015
  • Yehova Aliwapigania Waisraeli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Jinsi Yehova Anavyotaka Kuabudiwa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Julai uku. 8

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Jinsi Sheria Ilivyoonyesha Yehova Anawajali Wanyama

Mnyama aliyekuwa akiteseka alipaswa kusaidiwa (Kum 22:4; it-1 375-376)

Mama ya makinda hakupaswa kutendewa kwa ukatili (Kum 22:6, 7; it-1 621 ¶1)

Wanyama wa aina tofauti hawakupaswa kufungwa nira pamoja (Kum 22:10; w03 10/15 32 ¶1-2)

Ng’ombe dume na punda wakiwa wamefungwa nira pamoja. Nira imekingama kwa sababu wanyama wana urefu tofauti.

Yehova analiona kuwa jambo zito jinsi tunavyowatendea wanyama. Hatupaswi kuwatendea wanyama kwa ukatili au kuwaua kwa ajili ya kujifurahisha.—Met 12:10.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki