Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 3
  • Kukosa Kutii Sheria ya Mungu Huleta Matatizo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kukosa Kutii Sheria ya Mungu Huleta Matatizo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Yeftha—Mwanamume wa Kiroho
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Jinsi Sheria Ilivyothibitisha Yehova Anawajali Maskini
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Tutatembea Katika Jina la Yehova Milele!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Watumishi wa Yehova Wana Tumaini la Kweli
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Kukosa Kutii Sheria ya Mungu Huleta Matatizo

Mika aliiba pesa za mama yake (Amu 17:1, 2)

Mika aliabudu sanamu na hakuheshimu mpango wa Yehova wa hema la ibada na ukuhani (Amu 17:4, 5, 12; it-2 390-391)

Hatimaye Mika aliachwa bila chochote (Amu 18:24-26; it-2 391 ¶2)

Aliyekuwa Shahidi zamani, sasa akiwa na mtoto, huku akitamani maisha yake ya zamani alipokuwa akimtumikia Yehova. Mezani mbele yake kuna kisahani kilicho na sigara zilizovutwa. Mwanamume mlevi amelala kwenye kiti.

JIULIZE, ‘Nimenufaikaje kwa kumtii Yehova?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki