Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 13
  • Yeftha—Mwanamume wa Kiroho

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yeftha—Mwanamume wa Kiroho
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Alimfurahisha baba yake na Yehova pia
    Wafundishe Watoto Wako
  • Uaminifu Hutuwezesha Kupata Kibali cha Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • Yeftha Anatimiza Nadhiri Yake Kwa Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Alipendwa na Mungu na Rafiki Zake Pia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 13

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yeftha​—Mwanamume wa Kiroho

Yeftha hakuwafungia wengine kinyongo (Amu 11:5-9; w16.04 7 ¶9)

Yeftha alijifunza kutokana na jinsi Yehova alivyoshughulika na watu Wake (Amu 11:12-15; it-2 27 ¶2)

Yeftha alikazia fikira jambo kuu, yaani, kwamba Yehova ndiye Mungu wa kweli (Amu 11:23, 24, 27; it-2 27 ¶3)

Picha: 1. Ndugu akisoma Biblia. 2. Ndugu akizungumza na mke wake kwa upendo. 3. Ndugu na mke wake wakiwa wameketi kwa heshima huku wengine wakisimama na kuisalimu bendera.

Ni katika njia zipi hususa ninaonyesha kwamba mimi ni mtu wa kiroho?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki