Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Machi uku. 4
  • “Vita Ni vya Yehova”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Vita Ni vya Yehova”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • “Vita Ni vya Yehova”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2016
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • Dumisha Unyenyekevu Unapofanikiwa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Machi uku. 4
Goliathi mrefu kuliko mtu aliyembebea ngao huku akimdhihaki Daudi kwenye uwanja wa vita.

Daudi akikabiliana na Goliathi

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

“Vita Ni vya Yehova”

Imani ya Daudi katika Yehova ilitegemea ujuzi na mambo aliyojionea (1Sa 17:36, 37; wp16.5 11 ¶2-3)

Daudi hakujilinganisha na Goliathi, alimlinganisha na Yehova (1Sa 17:45-47; wp16.5 11-12)

Yehova alimpa Daudi ushindi dhidi ya adui mwenye nguvu (1Sa 17:48-50; wp16.5 12 ¶4; ona picha kwenye jalada)

Mtu akitupa paketi ya sigara kwenye pipa la takataka.

Nyakati nyingine, tunaweza kukabili changamoto kubwa, kama vile mateso, au zoea baya. Matatizo yanapoonekana kuwa makubwa sana, kumbuka kwamba ni madogo yanapolinganishwa na nguvu za Yehova zisizo na mipaka.​—Ayu 42:1, 2.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki