Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 8
  • Yehova Anafanya Agano na Daudi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Anafanya Agano na Daudi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Mtegemee Yehova Akupe Msaada
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • ‘Baraka Hizi Zote Zitawatangulia’
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Jinsi Ayubu Alivyodumisha Usafi wa Kiadili
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Epuka Vitu Visivyo na Maana
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 8
Mfalme Daudi akitazama nje ya dirisha kwenye makao ya mfalme.

Daudi akitafakari agano kati yake na Yehova

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yehova Anafanya Agano na Daudi

Yehova alitangaza kwamba angetokeza ukoo wa kifalme kwa ajili ya Daudi (2Sa 7:11, 12, maelezo ya chini; w10 4/1 20 ¶3; ona picha kwenye jalada)

Sehemu fulani za agano ambalo Yehova alifanya na Daudi zilitimizwa na Masihi (2Sa 7:13, 14; Ebr 1:5; w10 4/1 20 ¶4)

Mambo ambayo Masihi atafanya yatadumu milele (2Sa 7:15, 16; Ebr 1:8; w14 10/15 10 ¶14)

Yesu akitazama dunia kutoka kwenye kiti chake cha ufalme mbinguni.

Jua na mwezi vinatukumbusha kwamba utawala wa Masihi utadumu milele. (Zb 89:35-37) Unapovitazama, fikiria kuhusu baraka ambazo Yehova amekuahidi wewe na familia yako kupitia Ufalme Wake.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki