Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 6
  • Mtegemee Yehova Akupe Msaada

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mtegemee Yehova Akupe Msaada
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Anafanya Agano na Daudi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Yehova Ni Mungu wa Haki
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Je, Unachotoa Ni Dhabihu?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Ubinafsi wa Amnoni Ulitokeza Msiba
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mtegemee Yehova Akupe Msaada

Yehova husikia kilio chetu cha kuomba msaada (2Sa 22:7)

Yehova ana nguvu kuliko adui yeyote (2Sa 22:14-18; cl 19 ¶11)

Yehova anatenda kwa ushikamanifu na kutusaidia (2Sa 22:26; w10 6/1 26 ¶4-6)

Picha: 1. Dada akiwa amekaa kwenye sakafu na kutazama chini huku mama yake akimfokea na kurarua machapisho yake. 2. Dada huyo akisoma Biblia yake. 3. Akizungumza na ndugu na dada kwenye Jumba la Ufalme.

Yehova ana uwezo wa kuondoa majaribu yetu. Hata hivyo, mara nyingi, anatusaidia kukabiliana nayo kupitia roho yake takatifu, Neno lake, na undugu wetu wa Kikristo. (Zb 55:22) Tunaweza kufanya nini ili tupate msaada wa Yehova?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki