Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 7
  • Je, Unachotoa Ni Dhabihu?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Unachotoa Ni Dhabihu?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Tunajifunza Nini Kutokana na Wimbo wa “Upinde”?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Absalomu Aliasi kwa Sababu ya Kiburi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Yehova Ni Mungu wa Haki
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Ubinafsi wa Amnoni Ulitokeza Msiba
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 7

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Je, Unachotoa Ni Dhabihu?

Daudi aliagizwa ajenge madhabahu kwenye uwanja wa kupuria nafaka wa Arauna (2Sa 24:18)

Kwa fadhili Arauna alitoa uwanja na wanyama wa kutolewa dhabihu (2Sa 24:21-23)

Daudi alikataa kutoa dhabihu ambazo hazikumgharimu (2Sa 24:24, 25; it-1 146)

Picha: Njia za kutoa dhabihu. 1. Akina ndugu na dada wakisaidia katika ujenzi wa Jumba la Ufalme. 2. Dada mwenye umri mkubwa akitumbukiza mchango kwenye sanduku la michango. 3. Mume na mke wakihubiri kwa kigari. 4. Ndugu na dada wakishiriki katika kazi ya kutoa msaada.

Yehova anafurahi tunapodhabihu muda, nguvu, na mali zetu kwa hiari ili kuendeleza masilahi ya Ufalme. (w12 1/15 18 ¶8) Unaweza kujiwekea malengo gani ili uongeze “dhabihu ya sifa” unayomtolea?​—Ebr 13:15.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki