Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 14
  • Absalomu Aliasi kwa Sababu ya Kiburi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Absalomu Aliasi kwa Sababu ya Kiburi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Epuka Kujitakia Makuu!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Ubinafsi wa Amnoni Ulitokeza Msiba
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Je, Unachotoa Ni Dhabihu?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Yehova Ni Mungu wa Haki
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 14
Absalomu akipiga magoti na kuzungumza na mwanamume aliyemsujudia, huku watumishi wake na Waisraeli wengine wakitazama.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Absalomu Aliasi kwa Sababu ya Kiburi

Absalomu alijitakia utukufu (2Sa 15:1; it-1 860)

Absalomu aliiba mioyo ya watu (2Sa 15:2-6; w12 7/15 13 ¶5)

Absalomu alijaribu kumnyang’anya baba yake ufalme (2Sa 15:10-12; it-1 1083-1084)

Hatupaswi kuruhusu tamaa ya makuu isitawi mioyoni mwetu. Badala yake, tunapaswa kuchunguza nia yetu kwa ukawaida. Badala ya kujaribu kujipendekeza kwa wengine, tunazingatia faida yao tukiwa na nia nzuri.​—Flp 2:3, 4.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki