Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 2
  • “Mtu Akifa, Je, Anaweza Kuishi Tena?”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mtu Akifa, Je, Anaweza Kuishi Tena?”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Upendo Mshikamanifu wa Mungu Unatulinda Dhidi ya Uwongo wa Shetani
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Yehova Anawatumia Wanawake Wawili Kuwaokoa Watu Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Alithamini Hekima
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Msifu Yehova kwa Hekima Yake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

“Mtu Akifa, Je, Anaweza Kuishi Tena?”

Wanadamu hawana nguvu za kuzuia kifo au kurudisha uhai (Ayu 14:​1, 2, 4, 10; w99 10/15 3 ¶1-3)

Wafu wanaweza kuishi tena (Ayu 14:​7-9; w15 4/15 32 ¶1-2)

Mbali tu na kuwa na uwezo wa kuwafufua watumishi wake, Yehova anatamani kuwafufua (Ayu 14:​14, 15; w11 3/1 22 ¶5)

Picha: 1. Kisiki kinachoanza kuchanua. 2. Mama akimkumbatia binti yake aliyefufuliwa katika Paradiso.

JAMBO LA KUTAFAKARI: Kwa nini Yehova anatamani kuwafufua watumishi wake washikamanifu? Kufahamu hilo kunakufanya uhisije kumhusu Yehova?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki