Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 4
  • Elifazi Anaonyesha Jinsi Ambavyo Hatupaswi Kuwafariji Wengine

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Elifazi Anaonyesha Jinsi Ambavyo Hatupaswi Kuwafariji Wengine
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Kataa Mawazo Yasiyofaa!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • Uaminifu-Maadili wa Ayubu Wathawabishwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1998
  • Ukamilifu wa Ayubu—Kwa Sababu Gani Unastaajabisha Sana?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Yehova Anafurahi Tunaposali kwa Ajili ya Wengine
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Elifazi Anaonyesha Jinsi Ambavyo Hatupaswi Kuwafariji Wengine

Elifazi alimwambia Ayubu wanadamu hawawezi kumpendeza Mungu (Ayu 15:14-16; w05 9/15 26 ¶4-5)

Elifazi alidai kwamba Ayubu alikuwa mwovu na ndiyo sababu alikuwa akiteseka (Ayu 15:20)

Maneno ya Elifazi hayakumfariji Ayubu (Ayu 16:1, 2)

Elifazi akimshutumu na kumwelekezea kidole Ayubu aliyejaa majipu, huku wafariji wale wengine wawili wa uwongo wakitazama.

Mambo ambayo Elifazi alimwambia Ayubu yalikuwa uwongo. Yehova anathamini jitihada zetu za kumtumikia. (Zb 149:4) Hata watu waadilifu wanaweza kupatwa na matatizo.—Zb 34:19.

JAMBO LA KUTAFAKARI: Tunawezaje ‘kuwafariji wale walioshuka moyo’? —1Th 5:14; w15 2/15 9 ¶16.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki