Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 5
  • Usiwaache Kamwe Waabudu Wenzako

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usiwaache Kamwe Waabudu Wenzako
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • “Mtumaini Yehova”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • Kitabu Cha Biblia Namba 18—Yobu
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Ayubu—Kielelezo cha Mwenendo wa Utawa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Mtu Aliye Mfano Bora Ambaye Alikubali Kusahihishwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Usiwaache Kamwe Waabudu Wenzako

Watu wa ukoo wa Ayubu waliacha kushirikiana naye (Ayu 19:13)

Watoto wachanga na watumishi wa Ayubu waliacha kumheshimu (Ayu 19:​16, 18)

Marafiki wa karibu wa Ayubu walimgeuka (Ayu 19:19)

Wenzi wa ndoa wakimsaidia dada aliye na uhitaji. Mke anamsikiliza dada huyo kwa hisia-mwenzi huku ndugu akirekebisha beseni la jikoni.

JIULIZE, ‘Ninaweza kufanya nini ili kuendelea kumwonyesha upendo mwabudu mwenzangu anayekabili matatizo?’—Met 17:17; w22.01 16 ¶9; w21.09 30 ¶16; w90 9/1 22 ¶20.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki