Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 16
  • Mpango wa Kuwafariji Wale Walio Betheli

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mpango wa Kuwafariji Wale Walio Betheli
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Maamuzi Yanayoonyesha Unamtegemea Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Kamwe Hatuko Peke Yetu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
  • Kumbuka Kwamba Yehova Ndiye “Mungu Aliye Hai”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • Uwe Mwenye Kiasi Inapohusu Mambo Usiyoyajua
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 16

MAISHA YA MKRISTO

Mpango wa Kuwafariji Wale Walio Betheli

Kila mtu hupatwa na majaribu na anahitaji faraja na utegemezo. Hata wale ambao wana nguvu kiroho au wana mapendeleo ya pekee ya utumishi wanaweza kuvunjika moyo. (Ayu 3:​1-3; Zb 34:19) Tunaweza kujifunza nini kutokana na mpango wa kuwafanyia uchungaji washiriki wa familia ya Betheli?

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA “MTEGEMEE MUNGU,” KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Washiriki wa familia ya Betheli wanakabili matatizo gani?

  • Ni mambo gani manne yanayofanywa ili kuwafariji?

  • Kuwafariji wengine kumewasaidiaje ndugu wanaoandaa faraja?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki