Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp25 Na. 1 uku. 2
  • Utangulizi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Utangulizi
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2025
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi Vita na Ukatili Vinavyotuathiri Sisi Sote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2025
  • Amani ya Kweli—Kutoka Chanzo Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
  • Kuna Wakati Ujao Gani kwa Vita?
    Amkeni!—1999
  • Kwa Nini Vita na Ukatili Vinaendelea?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2025
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2025
wp25 Na. 1 uku. 2

Utangulizi

Je, unatamani kuishi katika ulimwengu usiokuwa na vita au ukatili? Watu wengi wanafikiri kwamba jambo hilo ni zuri, lakini lisilowezekana. Biblia inaeleza kwa nini jitihada za wanadamu za kukomesha vita hazifanikiwi. Pia, inaeleza sababu zinazotusaidia kuwa na uhakika kwamba inawezekana kuwa na amani ulimwenguni pote na hilo litatokea hivi karibuni.

Katika gazeti hili, maneno “vitaʺ na “ukatiliʺ yanarejelea mapigano kati ya vikundi vilivyo na silaha ili kutatua mizozo ya kisiasa. Majina ya baadhi ya watu walionukuliwa yamebadilishwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki