Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yb16 uku. 131
  • Kiongozi wa Uhalifu Awa Raia Mwema

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kiongozi wa Uhalifu Awa Raia Mwema
  • 2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Mambo Tupaswayo Kujua Kuhusu Magenge
    Amkeni!—1998
  • Je! Nijiunge na Genge?
    Amkeni!—1992
  • “Nilikuwa Nikijichimbia Kaburi”
    Biblia Inabadili Maisha
  • Kuwalinda Watoto Wetu na Magenge
    Amkeni!—1998
Pata Habari Zaidi
2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
yb16 uku. 131

INDONESIA

Kiongozi wa Uhalifu Awa Raia Mwema

Hisar Sormin

  • ALIZALIWA 1911

  • ALIBATIZWA 1952

  • HISTORIA FUPI Kiongozi wa kikundi cha uhalifu ambaye baadaye alikuwa mshiriki wa Halmashauri ya Tawi.

Hisar Sormin

SIKU MOJA, Ndugu Sormin aliitwa na ofisa wa kitengo cha ujasusi katika ofisi ya mwanasheria mkuu.

Ofisa huyo alimwambia hivi: “Wewe ni Mwindonesia, tafadhali niambie ukweli. Mashahidi wa Yehova wanafanya nini hasa nchini Indonesia?”

Ndugu Sormin akajibu hivi: “Ngoja nikusimulie historia yangu. Nilikuwa kiongozi wa kikundi cha uhalifu, lakini sasa ninawafundisha watu Biblia. Hiyo ndiyo kazi ambayo Mashahidi wa Yehova hufanya, yaani, kuwabadili wahalifu kama mimi wawe raia wema!”

Ofisa huyo akasema: “Nimesikia watu wengi wakiwalalamikia Mashahidi wa Yehova. Hata hivyo, ninajua kwamba ni dini nzuri kwa sababu imekusaidia kuwa raia mwema.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki