-
Mathayo 16:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 na asubuhi mnasema: ‘Leo kutakuwa na baridi kali na mvua, kwa maana anga ni jekundu na lina mawingu mazito.’ Mnajua jinsi ya kufafanua hali ya anga, lakini hamwezi kufafanua ishara za nyakati.
-