-
Marko 7:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Lakini ninyi mnasema, ‘Mtu akimwambia baba yake au mama yake: “Chochote nilicho nacho ambacho kingekusaidia ni korbani, (yaani, zawadi iliyowekwa wakfu kwa Mungu),”’
-