-
Marko 7:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Lakini nyinyi watu mwasema, ‘Ikiwa mtu amwambia baba yake au mama yake: “Chochote kile nilicho nacho ambacho kwacho waweza kupata manufaa kutoka kwangu ni korbani, (yaani, zawadi iliyowekwa wakfu kwa Mungu,)”’—
-