26 Kwa maana yeyote atakayenionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa binadamu atamwonea aibu mtu huyo, atakapokuja katika utukufu wake, na wa Baba, na wa malaika watakatifu.+
26 Kwa maana mtu yeyote yule atakayenionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa binadamu atamwonea aibu mtu huyo atakapofika katika utukufu wake na ule wa Baba na wa malaika watakatifu.+