-
Luka 9:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Kwa maana awaye yote yule mwenye kuaibika juu yangu na juu ya maneno yangu, Mwana wa binadamu ataaibika juu ya huyo awasilipo katika utukufu wake na ule wa Baba na wa malaika watakatifu.
-